Bodi ya Wasanifu, Wahandisi na Wakadiriaji Majengo Zanzibar inawataka wahitimu wa fani za usanifu (architecture), uhandisi (Engineering) na ukadiriaji majengo (Quantity Surveying) kusajili kwa ajili Semina ya Mafunzo ya Vitendo (SAPAEQ) itakayofanywa na bodi hivi karibuni.
Lengo likiwa ni kuzungumzia kuhusu mafunzo ya vitendo kwa wahitimu ili wawe Wataalamu Mahiri na kuwatafutia nafasi za Internship/Training.
Semina hii Inawahusu wahitimu wote walionaliza kuanzia 2020 hadi 2025 na
Mwisho wa kujisajili ni tarehe 28/12/2025
JIUNGE SASA KWA KUBONYEZA LINK HII: https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLScfK26gnTPcMMYpZetTXKNL2ehsF6gsByZ04Vo1WOLEIl5-3Q/viewform?usp=dialog
Bila kusahau kufollow instagram page yetu, aeqsrb_zanzibar kwa habari na matangazo tofauti kutoka Bodi.